| Maelezo |
Yafuatayo ni maelekezo ya jinsi ya kutuma picha hapa MK Music Galaxy:
1: Jiandikishe hapa Baada ya kujiandikisha utapokea email toka kwetu sisi ikielezea jinsi ya ku-activate account yako. Tafadhali angalia pia Spam Box na ukipokea email Mark kama siyo spam na ufuate maelekezo ya ku-activate account yako.
2: Baada ya Kuactivate Account yako, login kupitia hapa
3: weka User name, na Password yako.
4: Click Upload file button. Kutokana ndio kwanza umejiandikisha nasi basi system itakwambia uweze kutengeneza album yako mpya ambayo utaitumia kuhifadhia picha zako. Kutengeneza album mpya click Create / order my albums alafu Click New na yatatokea maandishi New album basi yafute hayo maandishi na kuweka jina lolote la album yako na mwisho click Apply Modifications na click continue.
5: Kama umeshamaliza kutengeneza album yako, click tena Upload file button na Kupitia buttons zilizopo ktk hatua ya 4, click browse kutambua ni wapi umehifadhi picha zako ktk computer yako na ukimaliza kutafuta ni picha gani unataka ku-upload click continue button.
6: Pale utakapo maliza ku-Upload salama bila ya tatizo lolote basi click continue button.
7: Chagua ni wapi unataka kuziweka hizo picha ktk MKMG Gallery i.e. Yaani ni album ipi itakayo hifadhi hizo picha kwa kuchagua album mbali zinazo onekana ktk drop down menu. Utakapo maliza click continue button.
8: Utakapo ona ujumbe ukisema "The previous file was placed successfully" click continue button.
9: Kama kuna picha zaidi za ku-upload, Rudia hatua ya 4 Mpaka ya 8
10: That's it, Very Easy and Simple!!!
Enjoy!!
Nota Bene: Ukitaka kuweka picha zako ktk album yako peke yake pia unaweza kufanya hivyo kwa kufuata maelekezo yaliyopo ktk menus baada ya ku-login. Click Album button yenye maelekeza ya jinsi ya kutengeneza album mpya. |